iqna

IQNA

shirika habari za kimataifa
Serikali ya mpito ya Mali inayoongozwa na majenerali wa kijeshi imeutaka Umoja wa Mataifa uwaondoea nchini humo askari wa Kikosi cha kulinda amani cha umoja huo (MINUSMA).
Habari ID: 3477152    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/17

Ibada ya kila mwaka ya Hija ya imeanza rasmi leo Alhamisi katika mji mtakatifu wa Makka, ikiashiria hatua kubwa kuelekea hali ya kawaida baada ya miaka miwili ya janga la corona ambapo idadi ya Mahujaji ilipunguzwa sana.
Habari ID: 3475469    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/07

Khatibu wa Sala ya Ijumaa
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehrah amesema, hatua za kichochezi zilizochukuliwa na shirika la kijeshi la NATO kwa uongozi wa Marekani zimetatanisha hali ya mambo katika eneo; na si hasha zikaifanya iwe tata zaidi.
Habari ID: 3474975    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/25

TEHRAN (IQNA) Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kuunga mkono jitihada zinazoendelea za kuupokonya utawala wa Kizayuni wa Israel hadhi ya mwanachama mtazamaji wa Umoja wa Afrika (AU).
Habari ID: 3474439    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/18